Nchini Tanzania katika Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa, katika nyanda za juu kusini mwa nchi, wahudumu wa afya katika hospitali ya Kilolo wanashukuru kwamba kutokana na mradi wa maji ulioletwa na ...