JESHI la Polisi wilayani ya Tarime limelazimika kutumia mabomu ya machozi kutawanya wananchi wa Koo za Wakira na Waanchari waliokuwa wameanzisha mapigano ya wenyewe kwa wenyewe wakigombea ardhi. Mkuu ...