News

Imebaki kwa watia nia wa Chadema, kuamua ni jukwaa gani la kisiasa wanaweza kulitumia ili kutimiza malengo yao ya kugombea ...
Oktoba 2025, Tanzania inatarajia kufanya uchaguzi mkuu wa madiwani, ubunge na Urais huku ndani ya Chama cha Demokrasia na ...
Ingawa kuharibika mara kwa mara kwa miundombinu ya barabara kunachochewa na sababu nyingi, kukosekana udhibiti wa malori ya ...
Ikiwa imesalia takribani miezi sita Tanzania kuingia katika uchaguzi mkuu, viongozi wa dini wametoa wito kwa Serikali na ...
Pamoja na kupata ushindi kiduchu wa bao 1-0 dhidi ya Stellenbosch ya Afrika Kusini kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, ...
Viongozi wakuu wa nchi katika ujumbe wao wa Pasaka, wamezungumzia uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu, wakiwataka wananchi kujitokeza kushiriki na kuepuka vurugu.
Askofu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Kiteto, Isaya Chambala amesema amani ya kweli haiji bila haki, huku akiwataka ...
Taasisi 24 za umma kati ya 78 hazikuwa na mikataba rasmi wala makubaliano ya viwango na watoa huduma wao wa mifumo ya ...
Wakazi wa Kibirizi mkoani hapa wameitaka Serikali ifanye ukarabati wa daraja lililofunikwa na maji yaliyosababishwa na mvua ...
Unakumbuka mwaka 1993 wakati Simba inacheza fainali ya Kombe la CAF ambalo baadaye 2004 likaunganishwa na Kombe la Washindi ...
Askofu wa Jimbo Katoliki la Shinyanga, Liberatus Sangu amewataka waumini wa dini ya Kikristo kusherehekea Pasaka kwa matendo ...
Wakati vyama vya siasa vikiendelea na maandalizi kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu, Mkuu wa Kanisa la Kiinjili ...